2 Wafalme 23:29 BHN

29 Wakati wa kutawala kwake, Farao Neko wa Misri alikwenda mpaka mto Eufrate ili kukutana na mfalme wa Ashuru. Naye mfalme Yosia akaondoka ili kupambana naye; lakini Farao Neko alipomwona alimuua kule Megido.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:29 katika mazingira