2 Wafalme 23:30 BHN

30 Maofisa wake wakaibeba maiti yake katika gari na kuirejesha Yerusalemu walikomzika katika kaburi lake mwenyewe. Kisha watu wa Yuda wakamchukua Yehoahazi mwana wa Yosia wakampaka mafuta na kumtawaza kuwa mfalme mahali pa baba yake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:30 katika mazingira