2 Wafalme 23:31 BHN

31 Yehoahazi alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitatu alipoanza kutawala, akatawala kwa miezi mitatu huko Yerusalemu. Mama yake alikuwa Hamutali binti Yeremia wa Libna.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:31 katika mazingira