2 Wafalme 23:33 BHN

33 Ili asiendelee kutawala huko Yerusalemu, Farao Neko alimtia nguvuni huko Ribla katika nchi ya Hamathi, akaitoza nchi kodi ya kilo 3,400 za madini ya fedha na kilo 34 za dhahabu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:33 katika mazingira