2 Wafalme 23:34 BHN

34 Farao Neko akamtawaza Eliakimu mwana wa mfalme Yosia mahali pa baba yake Yosia, akabadilisha jina lake kuwa Yehoyakimu. Lakini alimchukua Yehoahazi mbali mpaka Misri na kufia huko.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:34 katika mazingira