2 Wafalme 23:35 BHN

35 Mfalme Yehoyakimu alimpa Farao fedha na dhahabu, lakini aliitoza nchi kodi ili aweze kutekeleza matakwa ya Farao ya kupewa fedha. Aliwatoza wananchi fedha na dhahabu. Kila mmoja alitoa kiasi alichokadiria mfalme, naye akampa Farao Neko.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23

Mtazamo 2 Wafalme 23:35 katika mazingira