36 Yehoyakimu alikuwa na umri wa miaka ishirini na mitano alipoanza kutawala, na alitawala huko Yerusalemu kwa muda wa miaka kumi na mmoja. Jina la mama yake lilikuwa Zebida binti Pedaya wa Ruma.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 23
Mtazamo 2 Wafalme 23:36 katika mazingira