2 Wafalme 24:1 BHN

1 Nebukadneza mfalme wa Babuloni aliishambulia Yuda. Yehoyakimu, alimtumikia kwa miaka mitatu halafu aliacha kumtii, akamwasi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 24

Mtazamo 2 Wafalme 24:1 katika mazingira