2 Wafalme 24:2 BHN

2 Basi, Mwenyezi-Mungu akampelekea makundi ya Wababuloni, Waaramu, Wamoabu na Waamoni washambulie nchi ya Yuda na kuiharibu, kulingana na neno la Mwenyezi-Mungu alilolisema kwa watumishi wake manabii.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 24

Mtazamo 2 Wafalme 24:2 katika mazingira