2 Wafalme 24:20 BHN

20 Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia sana watu wa Yerusalemu na Yuda, hata akawafukuza mbali naye. Sedekia alimwasi mfalme wa Babuloni.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 24

Mtazamo 2 Wafalme 24:20 katika mazingira