1 Katika siku ya kumi ya mwezi wa kumi wa mwaka wa tisa wa utawala wake Sedekia, Nebukadneza mfalme wa Babuloni alifika na jeshi lake, akaushambulia mji wa Yerusalemu, akauzingira na kujenga ngome kuuzunguka.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 25
Mtazamo 2 Wafalme 25:1 katika mazingira