2 Wafalme 25:9 BHN

9 Aliichoma moto nyumba ya Mwenyezi-Mungu, ikulu na nyumba zote za Yerusalemu; kila nyumba kubwa aliichoma moto.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 25

Mtazamo 2 Wafalme 25:9 katika mazingira