2 Wafalme 3:10 BHN

10 Hapo mfalme wa Israeli akasema, “Ole wetu! Mwenyezi-Mungu ametukusanya sote wafalme watatu atutie mikononi mwa mfalme wa Moabu.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:10 katika mazingira