2 Wafalme 3:9 BHN

9 Basi, mfalme Yoramu akaondoka pamoja na mfalme wa Yuda na mfalme wa Edomu. Baada ya kusafiri kwa muda wa siku saba, maji yakawaishia. Hawakuwa na maji kwa majeshi yao wala kwa wanyama wao.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:9 katika mazingira