2 Wafalme 3:2 BHN

2 Yoramu alitenda maovu mbele ya Mwenyezi-Mungu, lakini yeye hakuwa mbaya kama baba na mama yake; maana alibomolea mbali mnara wa Baali uliofanywa na baba yake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:2 katika mazingira