2 Wafalme 3:3 BHN

3 Hata hivyo, Yoramu hakuacha dhambi kama mfalme Yeroboamu mwana wa Nebati aliyemtangulia ambaye alifanya dhambi na kuwafanya watu wa Israeli watende dhambi.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:3 katika mazingira