2 Wafalme 3:4 BHN

4 Mfalme Mesha wa Moabu alikuwa mfuga kondoo, na kila mwaka alitoa ushuru kwa mfalme wa Israeli wanakondoo laki moja na sufu ya kondoo laki moja.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:4 katika mazingira