21 Wamoabu walipopata habari kwamba hao wafalme watatu wamekuja kuwashambulia, watu wote wawezao kuvaa silaha kuanzia vijana mpaka wazee, waliitwa, wakapewa silaha na kuwekwa mpakani tayari kwa vita.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3
Mtazamo 2 Wafalme 3:21 katika mazingira