2 Wafalme 3:22 BHN

22 Walipoamka asubuhi iliyofuata, jua lilikuwa linametameta juu ya maji hayo; walipoyatazama yakaonekana kuwa mekundu kama damu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 3

Mtazamo 2 Wafalme 3:22 katika mazingira