2 Wafalme 4:12 BHN

12 Akamwuliza mtumishi wake Gehazi, “Mwite huyu mama Mshunami.” Alipomwita alikuja na kusimama mbele yake.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:12 katika mazingira