2 Wafalme 4:13 BHN

13 Naye Elisha akamwambia Gehazi, “Mwambie, tumeona jinsi alivyotushughulikia; sasa anataka tumtendee jambo gani? Je, angependa aombewe lolote kwa mfalme au kwa jemadari wa jeshi?” Mama Mshunami akamjibu, “Mimi ninaishi miongoni mwa watu wangu.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:13 katika mazingira