2 Wafalme 4:26 BHN

26 kimbia mara moja ukakutane naye na kumwambia, ‘Hujambo? Mume wako hajambo? Mtoto hajambo?’” Naye Mshunami akamjibu “Hatujambo.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:26 katika mazingira