27 Alipofika mlimani kwa mtu wa Mungu akamshika miguu, naye Gehazi akakaribia ili amwondoe; lakini mtu wa Mungu akamwambia, “Mwache, kwani ana uchungu mkali, naye Mwenyezi-Mungu hakunijulisha jambo hilo.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4
Mtazamo 2 Wafalme 4:27 katika mazingira