2 Wafalme 4:30 BHN

30 Mwanamke akamwambia Elisha, “Kama Mwenyezi-Mungu aishivyo na kama wewe uishivyo, sitakuacha.” Basi Elisha akaondoka na kufuatana naye.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:30 katika mazingira