2 Wafalme 4:31 BHN

31 Gehazi akatangulia mbele, na alipofika akaweka fimbo ya Elisha juu ya uso wa mtoto, lakini hakukuonekana dalili yoyote ya uhai. Akarudi na kukutana na Elisha, akamwambia, “Kijana hakufufuka.”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:31 katika mazingira