34 Ndipo akajilaza juu ya mtoto, mdomo wake juu ya mdomo wa mtoto, na macho yake juu ya macho ya mtoto na mikono yake juu ya mikono ya mtoto. Na alipokuwa amekaa hivyo, mwili wa mtoto ukaanza kupata joto.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4
Mtazamo 2 Wafalme 4:34 katika mazingira