2 Wafalme 4:35 BHN

35 Elisha akasimama na kutembeatembea chumbani, kisha akarudi na kujilaza tena juu ya mtoto. Mtoto akapiga chafya mara saba, halafu akafungua macho.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:35 katika mazingira