2 Wafalme 4:42 BHN

42 Mtu Mmoja akatoka Baal-shalisha, akamletea Elisha mikate ishirini iliyotengenezwa kwa shayiri ya malimbuko ya mavuno ya mwaka huo na masuke mabichi ya ngano guniani. Elisha akamwagiza Gehazi awape watu wale.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:42 katika mazingira