43 Mtumishi wake akasema, “Sitawapa kwa sababu hakitawatosha watu 100”. Elisha akasema, “Wape wale, kwa sababu Mwenyezi-Mungu amesema kwamba watakula washibe na kingine kitabaki.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4
Mtazamo 2 Wafalme 4:43 katika mazingira