2 Wafalme 4:6 BHN

6 Vilipojaa vyote, akamwambia mwanawe mmojawapo, “Niletee chombo kingine.” Mwanae akamjibu, “Vyote vimejaa!” Hapo mafuta yakakoma kutiririka.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4

Mtazamo 2 Wafalme 4:6 katika mazingira