7 Akarudi kwa mtu wa Mungu na kumweleza habari hizo. Naye mtu wa Mungu akamwambia, “Nenda ukauze hayo mafuta na kulipa madeni yako, ndipo wewe na wanao mtaishi kwa kutumia hayo yatakayobaki.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 4
Mtazamo 2 Wafalme 4:7 katika mazingira