24 Walipofika mlimani alipoishi Elisha, Gehazi akachukua mafungu ya fedha kutoka kwa watumishi wa Naamani na kuyapeleka ndani, nyumbani mwake. Kisha akawaruhusu wale watumishi waende zao, nao wakaondoka.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5
Mtazamo 2 Wafalme 5:24 katika mazingira