25 Halafu Gehazi akaingia nyumbani kwa Elisha na kuanza kumhudumia. Elisha akamwuliza, “Ulikwenda wapi?” Gehazi akajibu, “Sikuenda mahali popote.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 5
Mtazamo 2 Wafalme 5:25 katika mazingira