11 Mfalme wa Aramu akafadhaishwa sana na hali hiyo; akawaita maofisa wake, akawauliza, “Niambieni nani kati yenu anayetusaliti kwa mfalme wa Israeli?”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:11 katika mazingira