10 Basi, mfalme wa Israeli akapeleka askari wake karibu na mahali alipoambiwa. Elisha aliendelea kumwonya mfalme naye mfalme alijiweka katika hali ya tahadhari. Jambo hilo lilifanyika mara nyingi.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:10 katika mazingira