2 Wafalme 6:9 BHN

9 Lakini Elisha akampelekea habari mfalme wa Israeli ajihadhari na mahali hapo, kwa kuwa Waaramu walikuwa tayari kupashambulia.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:9 katika mazingira