2 Wafalme 6:8 BHN

8 Wakati mmoja kulikuwa na hali ya vita kati ya Aramu na Israeli. Basi, mfalme wa Aramu akashauriana na maofisa wake kuhusu mahali watakaposhambulia.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:8 katika mazingira