2 Wafalme 6:13 BHN

13 Mfalme akawaambia, “Nendeni mkapeleleze mjue mahali alipo nami nitawatuma watu wamkamate.” Basi, wakamwarifu kwamba Elisha alikuwa huko Dothani.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:13 katika mazingira