2 Wafalme 6:14 BHN

14 Kwa hiyo mfalme akapeleka huko jeshi kubwa pamoja na farasi na magari ya kukokotwa. Jeshi hilo likafika huko wakati wa usiku na kuuzingira mji.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:14 katika mazingira