15 Mtumishi wa Elisha alipoamka mapema kesho yake na kutoka nje, akaona jeshi pamoja na farasi na magari ya kukokotwa limeuzingira mji. Akarudi ndani akasema, “Ole wetu, ee, Bwana wangu! Sasa tutafanya nini?”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:15 katika mazingira