2 Wafalme 6:18 BHN

18 Waaramu waliposhambulia, Elisha alimwomba Mwenyezi-Mungu akisema, “Nakuomba uwafanye watu hawa wawe vipofu!” Mwenyezi-Mungu akasikiliza ombi lake na kuwafanya vipofu.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:18 katika mazingira