2 Wafalme 6:19 BHN

19 Ndipo Elisha akawaendea na kuwaambia, “Mmepotea njia. Huu siyo mji ambao mnautafuta. Nifuateni nami nitawapeleka kwa yule mnayemtafuta.” Naye akawaongoza mpaka Samaria.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:19 katika mazingira