20 Mara walipoingia mjini, Elisha akaomba, akisema, “Ee Mwenyezi-Mungu, wafumbue macho ili waone.” Mwenyezi-Mungu akasikia ombi lake, akawafumbua macho. Nao wakajikuta wako katikati ya mji wa Samaria.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:20 katika mazingira