22 Elisha akajibu, “La, usiwaue. Kwani hawa unaotaka kuwaua uliwateka kwa upanga wako na mshale wako? Wape chakula na maji, wale na kunywa kisha uwaache warudi kwa bwana wao.”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:22 katika mazingira