2 Wafalme 6:23 BHN

23 Mfalme wa Israeli akawafanyia karamu kubwa; walipomaliza kula na kunywa, akawarudisha kwa bwana wao. Toka wakati huo, Waaramu hawakuishambulia tena nchi ya Israeli.

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:23 katika mazingira