2 Wafalme 6:26 BHN

26 Siku moja mfalme wa Israeli alipokuwa anatembea juu ya ukuta wa mji, alisikia mwanamke mmoja akimwita, “Nisaidie, ee bwana wangu mfalme!”

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:26 katika mazingira