2 Wafalme 6:27 BHN

27 Mfalme akamwambia, “Mwenyezi-Mungu asipokusaidia, mimi nitakupa msaada kutoka wapi; kutoka katika kiwanja cha kupuria au kutoka katika shinikizo?

Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6

Mtazamo 2 Wafalme 6:27 katika mazingira