5 Mmoja wao alipokuwa anakata miti, shoka lake likachomoka na kuanguka majini; akalia, akisema, “Sasa bwana wangu nitafanya nini? Shoka hili tulikuwa tumeliazima!”
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:5 katika mazingira