6 Elisha akauliza, “Liliangukia wapi?” Mtu huyo akamwonesha. Elisha akakata kijiti na kukitupa majini na papo hapo shoka likaelea juu ya maji.
Kusoma sura kamili 2 Wafalme 6
Mtazamo 2 Wafalme 6:6 katika mazingira