Amosi 9:11 BHN

11 “Siku yaja nitakapoisimika nyumba ya Daudi iliyoanguka;nitazitengeneza kuta zake,na kusimika upya magofu yake.Nitaijenga upya kama ilivyokuwa hapo zamani.

Kusoma sura kamili Amosi 9

Mtazamo Amosi 9:11 katika mazingira